Dully ataja urithi alioachiwa na baba yake Msanii Dully Sykes ambaye hapo jana ameachia wimbo wake mpya wa 'Bombadier', amesema marehemu baba yake amemuachia urithi mkubwa ambao ni muhimu sana maishani mwake. Read more about Dully ataja urithi alioachiwa na baba yake