Mchezaji Azam FC akumbwa na pigo Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Azam FC Wazir Junior amefiwa na mama yake mzazi usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao wilayani Lushoto mkoani Tanga. Read more about Mchezaji Azam FC akumbwa na pigo