Chama cha upinzani chafutwa Mahakama ya Juu nchini Cambodia imekifuta chama kikuu cha upinzani nchini humo CNRP (Cambodia National Rescue Party), na hivyo kumpa nafasi Waziri Mkuu Hun Sen kuendelea kusalia madarakani. Read more about Chama cha upinzani chafutwa