Singida na Lipuli kufungua raundi ya 10 Ligi kuu ya soka Tanzania bara raundi ya 10 itaendelea wikiendi hii ikianza leo kwa mechi moja ambapo Singida United itakuwa nyumbani kuivaa Lipuli FC. Read more about Singida na Lipuli kufungua raundi ya 10