Kiongozi Chadema, amshukuru Spika kwa kumlinda Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amekiri bila busara za Spika wa Bunge kutumika leo angekuwa amekamatwa leo na polisi wamedaiwa kutoka Morogoro waliokuwa eneo la Bunge kwa nia ya kumkamata. Read more about Kiongozi Chadema, amshukuru Spika kwa kumlinda