Manyika Jr amfunika Manula Golikipa wa Singida United Peter Manyika Jr ameendelea kuonyesha kiwango bora baada ya kucheza mechi saba bila kuruhusu nyavu zake kuguswa akiwa na klabu yake hiyo ambayo imepanda daraja msimu huu. Read more about Manyika Jr amfunika Manula