Tanzania kufundishwa na kocha wa UEFA Shirikisho la soka nchini TFF limemtangaza mchezaji wa zamani wa Tanzania Ammy Ninje kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania bara maarufu kama Kilimanjaro Stars. Read more about Tanzania kufundishwa na kocha wa UEFA