Mwakyembe na Gambo kufungua soka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Dk. Harrison Mwakyembe kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa uzinduzi wa Ligi Kuu soka ya Wanawake Tanzania Bara. Read more about Mwakyembe na Gambo kufungua soka