Agizo jipya la JPM jengo la TANESCO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesisitiza kuwa jengo la TANESCO Ubungo ni lazima libomolewe kwasabu yeye ndiye rais kwasasa tofauti na zamani alipokuwa waziri. Read more about Agizo jipya la JPM jengo la TANESCO