Mwigulu atoa maagizo kuhusu mauaji ya CHADEMA
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro na timu yake kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kata ya Hananasif Daniel John yaliyotokea Dar es salaam.

