Muafaka wa mtoto aliyerudishwa Tanzania wapatikana
Familia mbili za wanandoa Baraka Malali na Ashura Mussa waliokamatwa nchini China Januari 19,2018 wakiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili zimekubaliana mtoto atunzwe na babu yake Hashim Mbarouk.

