Shilole afunguka kuhusu kupigana na mumewe

Shilole akiwa katika picha ya pamoja na mumewe Uchebe

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed 'Shilole' amesema hawezi kuthubutu kwa sasa kupigana na mume wake Uchebe kwani sasa amekuwa mtu mzima na mapenzi ya kupigana yalikuwa ya utoto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS