Timu ya ligi kuu yatupwa nje Katika mwendelezo wa mechi za kombe la shirikisho nchini (ASFC), tayari hatua ya 16 bora imeondoka na timu moja ya ligi kuu, huku timu moja ya ligi daraja la kwanza ikitinga robo fainali. Read more about Timu ya ligi kuu yatupwa nje