''Neymar ameumia vibaya naogopa''

Baada ya nyota wa PSG Neymar Jr kuumia kwenye mchezo wa jana usiku ligi kuu ya Ufaransa kati ya timu yake dhidi ya Marseille, mlinda mlango wa PSG Alphonse Areola amesema anawasiwasi na kuumia kwake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS