Lema amkosoa Mnyeti, atoa ushauri
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameikosoa kauli ya Mkuu wa Mkoa Alexander Mnyeti kuhusu kuwataka wamiliki ya migodi ya Tanzanite kuwalipa mishahara wachimbaji na endapo watashindwa kutekeleza hilo basi wakusanye virago vyao.

