Ligi kuu ya England yafanyiwa mabadiliko

Chama cha soka nchini England (FA) kimetangaza mabadiliko kwenye ligi kuu ya EPL ambapo sasa itakuwa na mapumziko ya wiki mbili ndani ya mwezi Februari ambayo ni majira ya baridi nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS