Hatimaye Mo Salah atoa tamko kwa Rais
Baada ya kuwa kimya kwa muda akiendelea na matibahu ya bega aliloteguka kwenye mchezo wa fainali ya UEFA, mchezaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema kwa jinsi anavyoendelea yupo tayari kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Uruguay.