Mama auwa mtoto kwa kumkaba

Polisi Kirinyaga nchini Kenya wamemkamata Mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumkaba shingoni mtoto wake wa miaka 5 na kisha kumtupa katika mto Rutui.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS