Haya mataifa kuongeza 'World Cup' kwenye kabati ?
Kuelekea Fainali za 21 za Kombe la Dunia nchini Urusi, ni mataifa 7 ambayo yanashiriki kati ya 32 yakiwa tayari yameshawahi kutwaa ubingwa wa Dunia yakisaka kuongeza idadi ya taji hilo katika kabati zao.