Majaliwa awaonya viongozi wa dini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kutowatumia watu tofauti nje ya taasisi zao kwa ajili ya kuwasemea kwani wanaweza kuwachonganisha na serikali yao. Read more about Majaliwa awaonya viongozi wa dini