Ripoti yawagusa Ngoma na wenzake wanne
Klabu ya soka ya Azam FC kupitia kwa daktari wake Mwanandi Mwankemwa, imetoa ripoti ya wachezaji wake watano ambao ni majeruhi, juu ya hali zao zinavyoendelea na kueleza kuwa mshambuliaji mpya wa timu hiyo Donald Ngoma atarejea dimbani Agosti 11.