“Hatujawahi kufika Uingereza”- Kocha Masoud

Kocha msaidizi wa timu ya Simba, Masoud Djuma, amesema kwamba wachezaji wa timu yake wamejiandaa kushinda mchezo wa fainali wa mashindano ya Super Cup dhidi ya Goh Mahia ili waweze kufika Uingereza kwa mara ya kwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS