Massau Bwire aomba kununuliwa Kanzu Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ameandika waraka akiomba kupatiwa msaada wa vazi la kanzu baada ya kukosa 'mnuso' kutokana na mavazi yake siku chache zilizopita wakati huu wa mfungo. Read more about Massau Bwire aomba kununuliwa Kanzu