Serikali yaagiza watoto wachanga kukaguliwa
Serikali imewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa nchini kuhakikisha wanawafanyia uchunguzi watoto wachanga wanaopelekwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya umma ili kubaini kama wamefanyiwa vitendo vya ukeketaji.