Bashiru aonyesha makali yake CCM Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameweka bayana kwamba atawafukuza uanachama watendaji wote watakaoonekana kushabikia makundi ya siasa ndani ya chama hicho. Read more about Bashiru aonyesha makali yake CCM