Ujenzi wa miundombinu kutawala bajeti leo
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, amesema bajeti ya Serikali mwaka huu itajikita zaidi katika masuala ya ujenzi wa miundombinu, na fedha za matumizi ya kawaida yatakuwa makubwa kuliko za miradi ya maendeleo.