"Tunamshukuru Lembeli" - CHADEMA
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Afisa Habari wake Bwana Tumaini Makene kimetoa shukurani na kumtakia kila la heri kwa aliyekuwa mwanachama wao James Lembeli baada ya kutangaza kujiunga tena na Chama Cha Mapinduzi (CCM).