'NAMTHAMINI' yaleta mabadiliko bajeti 2018/19
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Upendo Peneza na Mbunge wa Temeke (CUF) Adallah Mtolea, wameisifu kampeni ya Namthamini ya East Africa Television na East Africa Radio kwa kusababisha kuondolewa kodi ya taulo za kike ili kurahisisha upatikanaji wake.