Jeshi la Polisi yafungukia kiini cha ajali Mbeya
Ikiwa imepita siku 1 tangu ilipotokea ajali ya lori Jijini Mbeya katika mlima wa Igawilo na kusababisha kuua mtu mmoja, Jeshi la Polisi mkoani humo limesema limeshafahamu kiini cha ajali hizo za kila mara na kudai lina mikakati madhubuti ya kudhibiti eneo hilo kwa kushirikiana na TANROADS.