Droo ya robo fainali Bball Kings ilivyofanyika
Baada ya michuano ya Sprite Bball Kings kupitia katika hatua za mchujo na 16 bora, hatimaye wikiendi ya Julai 7 na 8 zilipatikana timu zitakazocheza robo fainali na jana usiku ikachezeshwa droo ya kupanga mechi za hatua hiyo.