Mkwere afunguka juu ya vichekesho
Muigizaji nguli wa vichekesho kutoka kundi la Mizengwe, Mkwere Original ameweka wazi kuwa vipindi vya vichekesho katika runinga vitaendelea kuwa chaguo la kwanza kwa watazamaji na wapenzi wa vichekesho mbali na vichekesho vya mitandaoni.