"Chipukizi wa filamu ni zaidi ya wa Bongo Fleva"

Raisi wa Bodi ya filamu Tanzania (TFB), Simon Mwakifamba.

Raisi wa Bodi ya filamu Tanzania (TFB), Simon Mwakifamba amesema kuwa zao la waigizaji chipukizi kwenye tasnia ya filamu ni kubwa kuliko kwenye muziki kwa madai ya kuwa filamu zilizofanywa na waigizaji hao ni nyingi lakini jambo linalowakwamisha chipukizi hao kuonekana ni ugumu wa mauzo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS