KMC yawajibu Stand United Klabu ya manispaa ya Kinondoni (KMC), imejibu tuhuma dhidi yao ya kumsajili mchezaji Ally Ally kutoka Stand United wakati akiwa na mkataba wa miaka miwili na klabu yake. Read more about KMC yawajibu Stand United