Bwege aianika mipango iliyowekwa kuvunja upinzani
Mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini (CUF), Selemani Bungara maarufu kama 'Bwege' amedai mgogoro uliokuwepo katika chama chao umepangwa na dola kwa lengo la kukipoteza chama hicho ili kusudi kusiwepo kabisa na upinzani ambao utakuwa unachuana na chama tawala katika chaguzi mbalimba.