Makonda akabidhiwa majengo mapya
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa Ofisi mbili za walimu kati ya tano zinazojengwa na Ubalozi wa China nchini Tanzania kama sehemu ya kuunga mkono jitiada za mkuu wa mkoa katika kupatia ufumbuzi kero za walimu.