Fahamu zaidi gawio alilopewa Rais Magufuli
Mhadhiri wa chuo kikuu na mchambuzi wa masuala ya uchumi Dokta Rein Kasoga, amefafanua kuhusu michango ya kampuni, Taasisi na mashirika ya umma katika pato la taifa ambapo huchangia asilimia 15 kwenda serikalini, na mapato hayo huingia kwenye mfuko wa maendeleo.