Yanga wamkataa mchezaji wa bure
Baada ya pazia la usajili kwa vilabu 20 vya ligi kuu soka Tanzania bara kufungwa majira ya saa 6:00 usiku wa jana, imethibitika kuwa klabu ya Yanga imemrudisha mlinzi Elisha Muroiwa kwenye klabu yake ya Singida United baada ya kumwongezea mkataba mlinzi Kelvin Yondani.