Vijana wengi kupoteza ajira Tanzania
Vijana wengi wanadhaniwa kuja kupoteza ajira kutokana na agizo la Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim la kuwataka madereva wanaoendesha vyombo vya moto kuwa na leseni pamoja vyeti vya udereva vilivyotolewa na vyuo vinavyojulikana na serikali.