Lipumba aburuzwa mahakamani

Mwenyekiti wa CUF (anayetambuliwa na Msajili wa Vyama), Prof. Ibrahim Lipumba.

Mahakama Kuu Tanga imetoa amri ya kumzuia  Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, (anayetambuliwa na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba, Magdalena Sakaya, na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kuachana na hatua za kutangaza nafasi za wazi za madiwani ambao walivuliwa uanachama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS