Afukuzwa kazi kisa kummwagia maji ombaomba
Mfanyakazi wa mgahawa mmoja katika mji wa New York nchini Marekani amefukuzwa kazi kufuatia video iliyosambaa mtandaoni iliyomuonesha akimmwagia maji raia mmoja asiye na makazi aliyekuja katika mgahawa huo.