Instagram yamponza Valencia wa Man United
Nahodha wa Manchester United Antonio Valencia, amelazimika kuomba msamaha baada ya 'ku-like' ujumbe wa picha uliopandishwa kwenye mtandao wa 'Instagram' katika ukurasa ambao hutumika kumuunga mkono mchezaji huyo.