''Ukifuatilia maisha yangu ntakuzibua''- Chid Benz Msanii Chid Benz Msanii wa muziki wa HipHop nchini, Rashid Makwiro maarufu 'Chid Benz' amesema amechoshwa na watu wanaomkebei kuhusiana na kukonda kwake na kuwataka wafatilie maisha yao. Read more about ''Ukifuatilia maisha yangu ntakuzibua''- Chid Benz