Hofu ya kuhamia CCM inavyomtesa Kubenea
Vuguvugu la wabunge wa vyama vya upinzani kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuunga mkono jitihada za Rais, Dkt John Pombe Magufuli bado linaendelea ambapo mpaka sasa jumla ya wabunge nane wameshakumbwa na vuguvugu hilo.