Matumla avunja ahadi yake ya mwaka 2012
Mwana masumbwi wa zamani nchini Tanzania ambaye aliwahi kushinda mkanda wa WBC, Rashid Matumla anatarajia kupanda ulingoni hii leo kuzichapa na Matibwa Ally, pambano litakalopigwa katika uwanja wa ndani wa taifa.