''Simba na Mtibwa hazijapewa fedha za ubingwa''
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa katibu Mkuu wake, Kidao Wilfred, limeweka wazi kuwa mabingwa wa michuano ya kombe la shirikisho nchini, ambao ni Simba na Mtibwa Sugar bado hawajapewa fedha za ubingwa.