DC afunguka zahanati kutumia choo cha nyasi 

Picha ya choo kilichozua mjadala

Mkuu Wa Wilaya ya Masasi Mh. Ramadhani Mzee, ametoa maelezo juu ya picha inayozunguka mitandaoni ikionesha choo cha nyasi kinachotumiwa na wajawazito katika zahanati ya Namalembo, wilayani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS