Zahera na Aussems wote wasusia ubingwa Mwinyi Zahera na Patrick Aussems Kocha wa Simba, Patrick Aussems ameungana na kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, ambapo wote amesema makombe ya Mapinduzi Cup na SportPesa hayakuwa sehemu ya mipango yao. Read more about Zahera na Aussems wote wasusia ubingwa