TFF yapiga 'stop' mabadiliko Simba na Yanga Vikosi vya Simba na Yanga Shirikisho la soka nchini (TFF), limesisitiza kuwa hakutokuwa na mabadiliko ya tarehe ya mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utapigwa siku ile ile iliyopangwa awali ya Februari 16, 2019. Read more about TFF yapiga 'stop' mabadiliko Simba na Yanga