Watatu wapigwa risasi na kufa

Moja ya mwili aliyepigwa risasi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limefanikiwa kuwauwa majambazi watatu waliokuwa na silaha za moto na silaha za kijadi ambao walifika katika maeneo ya Nyakabungo, Kata ya Isamilo wilayani Nyamagana kwaajili ya kufanya uhalifu wa kuvunja maduka ya wafanyabiashara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS