Rais wa TFF ashtakiwa kwa FIFA kisa Tundu Lissu

Wallace Karia

Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF, Wallace Karia ameshitakiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwenye Shirikisho la Soka Duniani FIFA kutokana na kauli za kibaguzi alizozitoa hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS